Mr Blue_ Tilalila

on Jul 9, 2011


Find more music like this on G5 world

ALIYE JUU...........!

on Jul 1, 2011

kama ilivyokawaida ya watu wengi siku hizi kukanusha methali zilizowekwa na waswahili lakini kuna zile ambazo hata zikikanushwa lakini ukweli utabaki pale pale kama hiyo hapo juu "ALIYE JUU......"
haina haja ya kumfuata coz wana fizikia wanatyambia kwamba kiendacho juu katika dunia hii ihurudi chini, JE KUNA HAJA YA KUMFUATA ALIYE JUU NA WAKATI UMEAMBIWA KWAMBA NI LAZIMA ARUDI CHINI?